Posts

UNDERSTAND THE IMPORTANCE OF THE POSITION OF A PERSON OR OTHER PEOPLE IN YOUR LIFE (part one)

Image
  ... YOU SHALL RAISE FOUNDATION OF MANY GENERATIONS... (ISAIAH 58:12) By: Isaac Mwanzalila   Topic: Key things to know about the role of other people in your life In the world we live in, there are people who are an opportunity and others who are a hindrance to the fulfillment of God’s purpose in your life. You may live with them without knowing their position—whether they are on your side or against you. To accomplish His purpose on earth, God uses people, and often the success of His purpose depends on the obedience of those people to their calling. The Bible says: “And we know that in all things God works for the good of those who love him, who have been called according to his purpose.” (Romans 8:28) “The LORD has made everything for its purpose, even the wicked for the day of trouble.” (Proverbs 16:4) These scriptures show that God uses both groups—the righteous and the wicked—to accomplish His purpose. Therefore, it is important to understand that there are people God h...

ROHO YA HEKIMA NA UFUNUO

Image
…UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI… (Isaya 58:12) Mafundisho ya Neno la Mungu ROHO YA HEKIMA NA UFUNUO NA : Isaac Mwanzalila Salaam katika jina lake BWANA Yesu Katika Waefeso 1:17 Biblia inasema ‘Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi ROHO YA HEKIMA NA YA UFUNUO KATIKA KUMJUA YEYE’. Hili moja ya maombi muhimu ambayo Mtume Paulo alifanya kwa jili ya Kanisa la Efeso. Kila nisomapo mstari huu nimekuwa nikijuliza sana ni kwa nini Mtume Paulo aliomba maombi haya kwa kanisa hili?. Katika kutafakari na kuendelea kujifunza niligundua kwamba kulikuwa na sababu kubwa tatu ambazo zilimpelekea Mtume Paulo kuwaombea jambo hili, na kutokana na umuhimu wake hata kwa kanisa la sasa ndiyo maana nimeona ni vema nikaliandika hapa ili na wewe msomaji uweze kujifunza. Zifuatazo ni sababu kadhaa zilizompelekea Mtume Paulo aliombee kanisa la Efeso roho ya hekima na ufunuo na kwa sababu hiyo zinatusaidia kujua umuhimu wake kwa kanisa la sasa pia; Ili waweze kumjua Mungu zaidi (Waefeso 1...

ONGEZA UFAHAMU WAKO KUHUSU NDOTO ILI IKUSAIDIE KUFANYA MAAMUZI SAHIHI ( Sehemu ya tatu)

Image
  …UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI… (Isaya 58:12) Mafundisho ya Neno la Mungu Na: Isaac Mwanzalila Mada: Mafunzo tupatayo kutoka kwa Daniel na Yusufu kuhusu kufasiri ndoto Mfano wa Danieli kupitia ndoto ya Mfalme Nebukadreza Katika Daniel 2:1-2 imeandikwa ‘Hata katika mwaka wa pili wa kumiliki kwake Nebukadreza, Nebukadreza aliota ndoto; na roho yake ikafadhaika, usingizi wake ukamwacha. Ndipo mfalme akatoa amri kuwaita waganga, na wachawi, na wasihiri, na Wakaldayo, wapate kumweleza mfalme ndoto zake. Basi wakaingia, wakasimama mbele ya mfalme’. Ukisoma sura nzima ya pili utagundua kwamba mfalme aliota ndoto ambayo alipoamka aliisahau kabisa na hivyo akataka wasaidizi wake kwenye eneo hilo wampe tafsiri na akatoa amri wakishindwa kutoa tafsiri wote wataangaziwa, hii ni pamja na akina Danieli. Biblia inasema wale wasaidizi wake yaani waganga, na wachawi, na wasihiri, na Wakaldayo hawakuweza kutoa tafsiri kwani walitaka mfalme awaeleze ile ndoto kwanza, hivyo kwa kuwa walishindwa ...

ONGEZA UFAHAMU WAKO KUHUSU NDOTO ILI IKUSAIDIE KUFANYA MAAMUZI SAHIHI (SEHEMU ya PILI)

Image
…UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI… (Isaya 58:12) Mafundisho ya Neno la Mungu Na: Isaac Mwanzalila Mada: Mambo muhimu ya kujua kuhusu ndoto kama njia ambayo Mungu anatumia kusema na wanadamu (a) Sio kila ndoto inatoka kwa Mungu – Licha ya kwamba ndoto ni njia muhimu ambayo Mungu anatumia kusema na wanadamu, si ndoto zote zinatoka kwa Mungu. Biblia inatuonyesha wastani wa vyanzo vitatu vya ndoto ambavyo ni Mungu, Shetani au Mtu mwenyewe. Katika Ayubu 33:14 imeandikwa ‘Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. Katika NDOTO, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani’. Kupitia andiko hili tunaona kwamba Mungu ndiye chanzo. Yeremia 29:8 imeandikwa ‘Maana Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Manabii walio kati yenu, na wabashiri wenu, WASIWADANGANYE ninyi, wala msisikilize NDOTO ZENU, MNAZOOTESHA’. Pia Zekaria 10:2 imeandikwa ‘Kwa maana vinyago vimenena maneno ya ubatili, nao waaguzi WAMEONA UONGO; nao wa...

ONGEZA UFAHAMU WAKO KUHUSU NDOTO ILI IKUSAIDIE KUFANYA MAAMUZI SAHIHI (Sehemu ya Kwanza)

Image
  …UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI… (Isaya 58:12) Mafundisho ya Neno la Mungu Na: Isaac Mwanzalila Mada: Yasemavyo maandiko kuhusu ndoto Ndoto ni moja ya njia muhimu sana ambazo Mungu anatumia mara kwa mara kusema na wanadamu. Naam ndoto ni lugha ya picha ambayo mtu anapewa maelekezo kwayo, ndani ya picha kunaweza kuwa na sauti au ujumbe fulani. Picha hizo zinaweza kuwa kwa njia ya tukio, hadithi, kisa, habari au uzoefu fulani. Binafsi sehemu kubwa ya maamuzi ambayo nimekuwa nikifanya tena bila kujutia uamuzi wangu msingi wake ni kile ambacho Mungu amekuwa akisema nami kupitia ndoto. Kufuatia umuhimu, uzito na upana wa jambo hili nimeona ni vema kuandaa ujumbe huu ambao najua kwa sehemu utajibu baadhi ya maswali ya wasomaji wengi juu ya ndoto na muhimu zaidi utakuwa ni mwongozo muhimu kwako wa kukusaidia kuelewa ujumbe unaobebwa kwenye ndoto na hivyo kukusaidia kufanya maamuzi sahihi. Kumbuka kwamba lengo la Mungu kukuletea ndoto ni ili kukuongoza katika njia sahihi ya kueiendea n...

WELCOME TO OUR BLOG (JESUS CHARACTER IS OUR FOUNDATION)

Image
  ...UTAINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI...(ISAYA 58:12) 🌿 Welcome to Jesus Character Is Our Foundation — a home of faith , hope , and inspiration . ✨ 📖 Rooted in God’s Word, growing in His grace. Jesus Character Is Our Foundation 🌿 Welcome to our online home of faith and inspiration. Here you’ll discover uplifting messages, reflections, and teachings designed to encourage your heart, strengthen your walk with God, and remind you that you are never alone. This blog is built on the timeless truth of Scripture, guided by love, and dedicated to sharing hope in a world that often feels uncertain. Every word written here is prayerfully crafted to inspire you, bring you peace, and help you grow in your relationship with Christ. ✨ Whether you’re here for encouragement, wisdom, or simply a quiet place to reflect, you are part of this family. Explore freely, be refreshed, and carry with you the assurance that God’s love is always with you. 💫 “May the peace of Christ guard your heart, the lo...